Wana jamvi naomba kuungana nanyi katika kujadili mambo mtambuka yanayoihusu jamii ja Watanzania.Nilikuwa ughaibuni kwa muda mrefu na nimekuwa nasoma nyuzi zenu lakini sikuweza kuchangia kwa...
baada ya kufatilia kwa kina jukwaa hili na kuona faida zake ikiwa ni pamoja na kupata habari mbalimbali nimeona na mimi niwe mmoja wenu katika kutoa michango mbalimbali naomba mnikaribishe
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:
Hodi hodi wana MMU,CC,JF DR,UJASILIMALI,nimemfuata mume wangu sababu kila siku anachelewa kulala,kisa JF,kuanzia leo namfuata nyuma nyuma
*WasiWasi ndo Akili*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.