salamu wote, najitambulisha kwenu naomba mnipokee kwa lolote mnijuze na kuniongoza mie bado kinda katika safu hii. Naomba ushirikiano wenu katika mada mbalimbali nitakazopost.
Hodi wana jf ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia thread za watu mbalimbali na kuvutiwa sana. Leo nimeamua kukata shauri ili na mimi niwe niweze kuwa mchangiaji pia hata kuleta mada ambazo...
Members i Know how busy you are in Thinking Great, im just in joining you in this room of evaluation and discusion
Please recognise my Presence; Nimepata kiti cha nyuma kabisa.
habari zenu wakuu!!!!!!!
naombeni kidogo mnivumilie, mi mgeni jamani!
hebu tizameni hizi picha, then comment...!
ladies and gentlemen.. these photos were taken...
kwa mara ya kwanza napiga hodI jf, ushirikiano wa mawazo hac na fikra pevu ndio silaha kubwa inayoweza kuifikisha jf mbali pamoja na kudumisha upendo na mshikamano baina ya wanajamvi pacpokujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.