Habari zenu wana JF. Mi hapa ni mgeni na kuna baadhi ya vitu sijavijua sana, nitashukuru sana endapo nitapata mtu wa kua ananielekeza japo kidogokidogo jinsi mambo yanavyoenda humu ndani...
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa JF na kusema ukweli JF imenifundisha mambo mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu. Baaada ya kuwa kama msomaji tu wa JF kwa kipindi kirefu,sasa wana JF nimeona...
Mgeni humu ndani,umoja na upendo amani na mshikamano ndio nguzo muhimu...
Natumaini tutakuwa pamoja ktk kuchangia mawazo na kutoa hoja zitakazosaidia kuimarisha mahusiano yetu kama ndugu na kubwa...
jukwaa hili inasemekana ni kwa watu wenye hoja,uweledi na mitazamo chanya katika jamii.lakini kwa siku za hivi karibuni jukwaa limepungukiwa hizo sifa kwa kiwango cha kutisha.naomba wana jamvi...
About
Welcome to African appropriate technology and engineering co.ltd (Afatecol).
Afatecol deal with civil and building contractor in Dar es salaam - Tanzania
Mission
It is our mission to be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.