Habari zilizotufikia hivi punde.
Mtanzania yeyote kaa makini usiokote kitu chochote ambacho unamashaka nacho,kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani malawi/rwanda zaidi ya 30zenye uzito usiopungua...
Jamani naomba kuingia,
Wakubwa shikamooni, wadogo marahaba.
Mimi ni mgeni humu wa kuandika chochote ila ni mwenyeji wa kusoma. Naombeni ruhusa yenu kuingia humu.:help:
Nawasilisha.