Japo nimejiunga na jamii forum kwa miezi kadhaa sasa, lakini sikuwa nipata muda wa kutosha kuitembelea hii site na kuanza kushiriki kikamilifu kama member. Natangaza rasmi kujitosa ndani ya jamii...
Habari zenu wanaJF,..mimi ni mgeni na kwa muda mrefu nimekuwa nikufuatilia JF, na imekuwa na manufaa kwangu hivyo nikaona ni vema nami niwe mmoja wa wanajamii hii ili nijifunze mengi zaidi.
hello members of jamii forum ,nimekuwa nasoma tu jambo then jamii forum for years now,but sijaaamua kujoin inn,sasa nimeingia mimi ni mtanzania tena mzalendo mwenye hari na nia ya kuwa mtanzania...
Nimekuwa msomaji mfuatiliaji wa majadiliano mengi humu. Ingawa kuna majadiliano mengine yasiyo NA tija, lakini majadiliano mengi Sana Yana tija NA yanatoa ELIMU ya uhakikka KWA sisi tuliokuwa...