Enyi wapenda amani wenzangu, poleni sana kwa majukumu mengi ya kila siku. Tafadhali hebu fanya kila liwezekanalo kila mmoja kwa nafasi yako ilimradi kauli hizi za kibabe kati yetu na jirani zetu...
Habari zenu wana JF. Mimi ni sawa na mtoto mchanga kabisa katika JF, sijui chochote kile hivyo naomba ushirikiano wenu wa kunielekeza mambo mbalimbali nisiyoyafahamu kabisa pale nitakapokuwa...
ndugu wana JF,napenda kutumia fursa hii adhiim kujitambulisha kuwa mwana jukwaa!Hii ni kutokana na mada mbalimbali ambazo nimekuwa nikizisoma kupitia mitandao mingine kama FB hivyo nami nikaona...
Naamin wote ni wazima wa afya mi ni mgeni humu jamiiforums naomben mshikamo na ushirikiano wenu ktk kuchangia maada mbalimbal nipo pamoja nanyi thanks xna naomben mnikaribishe wadau nice day!
Member mpya nisiye na doa kwa yeyote Yule , ni muda mrefu nimekuwa nafuatilia mijadala mbalix2 lakini sasa nimeona nami ni muda wa kufatiliwa kwa mijadala Yangu mbalix2 humu Ndani ya...