Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
jamani hodi uwanjani. Nilikuwa mchunguliaji sasa nami nipo ndani. Nategemea ushirikiano.
0 Reactions
5 Replies
760 Views
Wanajamvi nimerudi kivingine baada ya kuona ajira yangu serioalini IPO rehani dada nimebadili utam ulisho wangu,sass Masham ulizi yangu yanakwenda kwa mjinga mmoja anayevaa kilastaman kutoka...
0 Reactions
3 Replies
594 Views
Heshima kwenu Wakuu, Leo nina furaha sana kwa kuwa mwanachama rasmi wa Jamii Forums, ninaomba ushirikiano wenu wadau. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa mdau mkubwa wa mitando mingine ya...
0 Reactions
7 Replies
611 Views
Elimu, elimu..
0 Reactions
4 Replies
615 Views
hellow jf members
0 Reactions
4 Replies
762 Views
habari zen jf mimi mgeni upande huu
0 Reactions
4 Replies
659 Views
Hodi wakuu,nimekuwa nikipita pita sn humu hatimaye sasa nimeamua kuingia jumla. Hope wenyeji wangu mtanipokea vyema.
0 Reactions
5 Replies
616 Views
Hellow members of tha great thinkers! Habarini.
0 Reactions
5 Replies
783 Views
hi there am newest looking for friends as much as they are and i well come them at NGARA NAIROBI
0 Reactions
8 Replies
753 Views
habar zenu member!..am in now..am happy with JF
0 Reactions
2 Replies
605 Views
nimekuja tuungane ili kwa pamoja tuijenge nchi kupitia mawazo yetu
0 Reactions
3 Replies
927 Views
nimetokelezea mazee. niaje
0 Reactions
3 Replies
730 Views
mimi ni mwanachama mpya jamani nawaombeni mnikaribishe wana jf.
0 Reactions
4 Replies
802 Views
je amjambo wanajf napenda kuwaambia kwa sasa nami nipo hapa naomba mnipokee kutoka kanda ya kati. Napenda sa wadada je wamo humu ?
0 Reactions
5 Replies
785 Views
Jamani hamjambo ? mimi ni mgeni wenu na mtanzania mwenzenu, nategemea kujifunza mengi kutoka kwenu, shukran.
1 Reactions
11 Replies
858 Views
Hi people , nafurahi kuona vijana wanavyojituma katika kurlimishana . Mgeni humu ila naamini sitakuja boteka kulingana na mitandao minginr ya kijamii ilivyo. Much respect, peace and love
0 Reactions
4 Replies
722 Views
nahis mimi bado nina kamba mguuni hebu nipeni welcome zenu wadau
0 Reactions
7 Replies
913 Views
Habari wandugu wapendwa.Baada ya takribani miaka mitatu ya kuingia JF kama mgeni leo nimeamua nami nijimwaemwae pamoja nanyi.Tafadhali nikaribisheni wanajamvi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
naitwa Glory ni member mpya,......nawapa hi members wote.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom