Heshima kwenu Wakuu,
Leo nina furaha sana kwa kuwa mwanachama rasmi wa Jamii Forums, ninaomba ushirikiano wenu wadau.
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa mdau mkubwa wa mitando mingine ya...
Hi people , nafurahi kuona vijana wanavyojituma katika kurlimishana . Mgeni humu ila naamini sitakuja boteka kulingana na mitandao minginr ya kijamii ilivyo. Much respect, peace and love
Habari wandugu wapendwa.Baada ya takribani miaka mitatu ya kuingia JF kama mgeni leo nimeamua nami nijimwaemwae pamoja nanyi.Tafadhali nikaribisheni wanajamvi.