jamani hodihodi..
nawapenda wote, nawatakia amani tele, furaha na mafanikio.
Naipenda jamii forum, naamini nitajifunza mengi kutoka kwenu nanyi kutoka kwangu.
Helloooo!
Nimekuwa nachungulia dirishani kwa muda mrefu, sasa nimejiunga rasmi hapa jamvini.Naomba tushirikiane kujenga nchi yetu inayoliwa na mafisadi.
Thanks in advance!
Hi everybody in Jamii forums, japo nimekuwa mwanachama kwa muda mrefu leo nimepata nafasi ya kujitambulisha kwenu wanajamii na ninafurahi sana kuwa katika mtandao huu imara na makini. Tutaendelea...
Hodi hodi wana jamii Forums the home of great thinkers.Nimejiunga rasmi leo naomba mnipokee kwenye forum yenu yenye kuelemisha,kukosoa na kutoa msaada.
Wakubwa nimekuwa nikichungulia tu kupitia dirishani sasa nimeamua kuomba ukaribisho rasmi kwa wenye nyumba.
naomba mnikaribishe si mnajua mgeni njoo mwenyeji apone.