Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hallo! The home of great thinkers. I am a new member, hope you will find my contributions very electrifying and exciting.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello wanaforum ninabisha hodi nikiomba kujumuika pamoja nanyi, Asanteni
0 Reactions
4 Replies
814 Views
helllloww,, jf. Ndo naingia hivo baada ya muda mrefu kuwa napepesa jicho tu kwa hii forum. But now, am innn!! Lets build our country. Nipokeeni wadau.
0 Reactions
5 Replies
908 Views
New guest apa mie naomba kukaribishwa wanachit chat
0 Reactions
7 Replies
730 Views
Hodi hodi wenyeji nafurahi kujiunga nanyi leo nipate nafasi ya kushiriki nanyi kwenye mijadala mizito ya katiba na mingine jinsia ni Me na mwenyeji wa mkoani. nitashukuru kwa maji ya...
0 Reactions
5 Replies
681 Views
Habari zenu jamani.. Wazima nyie? Naomba mnikaribishe wana GREAT THINKERS.
0 Reactions
9 Replies
961 Views
Habari zenu wazalendo natumai mnaendelea vizuri na harakati za kupigania taifa letu,napenda kujitambulisha rasmi kwenu kama member mpya.
0 Reactions
8 Replies
807 Views
I'm a new member so accept me please! I would like to share with you the wisdom of the forum.
0 Reactions
5 Replies
810 Views
Hi everybody mimi mgeni humu jamvini.Naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Jamani Nimefurahshwa Namna Mnavyochangia Nikaonelea Nami Niwe Member, Nikaribisheni Wajameni
0 Reactions
4 Replies
688 Views
Kutokana na kupata habari kwa wakati muafaka.nami nimevutiwa kuwa mwanachama wa jf.nawashukuru jf.
0 Reactions
8 Replies
807 Views
Wakubwa shikamoni wadogo zangu marahaba
0 Reactions
4 Replies
710 Views
Sijaamin,kumbe kuna vitu vya 4m 6,duuuh!
0 Reactions
4 Replies
608 Views
Ur welcome is ur kind.Plz show me ur kind guys.
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu
0 Reactions
9 Replies
810 Views
Hodi nyumba hii ya ma-great thinkers...nina furaha na amani tele kwa kuungana na wana jf wote waliomo!hivyo naomba kukaribishwa.NAWASILISHA. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
780 Views
Pamoja sana my co members kwn umoja ni nguvu.
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums
0 Reactions
11 Replies
1K Views
daaah am new into dc thng...ka m2 n mtasha kwenye hii k2 plz nielekeze thngz znavoendaaaa
0 Reactions
5 Replies
719 Views
Hod hod nyumba hii! sikujua km kuna mawazo na vitu vya 4m 6,duuuh!
0 Reactions
5 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…