Kwanza nawapa pole kwa mihangaiko ya kutwa ya ujenzi wa taifa letu. Naamini mwisho wa yote ni kujenga taifa lenye ustawi imara kwa manufaa ya wote. Pili naombeni mnipokee kwa furaha ktk jukwaa...
Asalaam Aleykum waungwana. Nawasalimu kwa lugha, dini na itikadi zenu. Mgeni nimeingia naomba miongozo, order, kuhusu utaratibu na mengineyo. Ila tangu mwanzo nieleweke kuwa napenda vitu vyote...
Ndugu zangu wana jf.Cku zote mgen mstaarabu.ni yule abishae hod anapo fika kwenye mji.Pia mwenyeji mstaarabu ni yule anae mkarim mgen..sasa na mm nasema hod kwa wana jamvi wote..
wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kwa ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi,,,,, jf z the soln
Naomba kuwasilisha wana jamvi
Wakuu mimi ni memba mda humu nimekuwa kimya toka kujiunga kwa sababu nlikuwa sijapata thread ya maana ma ya uhakika, ila leo nimrpata hii
Katika kupitisha macho youtube wakuu nimekutana na...
habari wana JF nawaombeni munikaribishe kwa moyo wa upendo kabisa.nimeamua kujiunga humu baada yakuumwa mudaa mrefu na kktka kipindi changu kikugumu Jamii Forum ilikua ni sehemu yangu kujifariji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.