Waungwana Asalam Alequm, Bwana Asifiwe, Tumsifu Kristo; nawaomba mnipokee kwa mikono miwili ili niweze kuchangia mada mbalimbali kwa ustawi wa nchi yetu. Mie ni mkazi wa mkoa wa Tanga
Nabisha hodi humu ndani JF, baada ya kuona Facebook michosho nadhani hii ni sehemu salama kwangu kwa kupata changamoto mbalimbali.Naomba ukaribisho wenu!!
Ni matumain yangu mko poa humu ndani kwa mara ya kwanza in room naomba ushirikiano wenu kwa kufundishana kulekezana yale yenye kumfaa kila kiumbe mwenye ufaham kama binadam na pale atelezapo mmoja...
heshima kwenu wakubwa kwa wadogo! Nimegundua nilikua napoteza mda wangu mwing kudeal na fb while gaining less!! Niko wa jf!! Napenda pia kuwashaur vijana wenzangu wajiunge na jf!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.