Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hollllloowwww
0 Reactions
5 Replies
549 Views
Nimeingia jamvini.
1 Reactions
7 Replies
930 Views
Jamani nahitaji muongozo ili Mambo yaende sawa nsijeharibu humu wana jamii
0 Reactions
6 Replies
709 Views
Waungwana wa ukweli naitaji ushirikiano wenu JF ni baab'kubwa...ni wakali zaidi yao!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi mgeni wenu wajameni! Mambo ya FB nimeyaweka pembeni na nimekuja humu kwa maamuzi yangu ya kujenga Nchi yangu kwa Moyo mkunjufu! Naombeni mnipokee na kunirekebisha pale nitakapokosea...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
Habarini Ndugu zanguni member wote wa Jf Mi ni mgeni wenu hapa jukwaani! Msinitenge na pale ninapokwama naombeni mwongozo! Mi na LiverpoolFC ni Ndugu moja! Asanteni sana!
0 Reactions
6 Replies
695 Views
hellow guys, mie mdau mwenzenu :yell:
0 Reactions
3 Replies
582 Views
Nashukuru mungu kujua kiswahiri ili nami niweze kuchangia mambo mhimu katika taifa letu.naomba nafasi wana jf
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mambo vp wazima wote kwanza nianze kwa kutoa salamu, bwana yesu asifiwe,asallam aleyhum. Naombe ushirikiano wenu asanten
0 Reactions
3 Replies
783 Views
hello all. i'm glad i was able to come to this site. through this site i hope to gain enough information, as well, i'm excited to meet new friends.
0 Reactions
3 Replies
543 Views
hellow, habari wana jf, mimi ni new member naomba kukaribishwa
0 Reactions
3 Replies
658 Views
Napenda sana hbr zinazorushwa na jamii forum ni za kweli hakika
0 Reactions
4 Replies
516 Views
mimi mgeni wajameni
0 Reactions
5 Replies
838 Views
am a new member thus i nid yo company in here.wish ya a nice moment
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hodi humu ndani. Jamani nimeamua kujiunga humu JF rasmi bada ya kukaa nje nikisoma comment za watu mbalimbali humu ndani,imefika wakati sasa nimeamua kujiunga ili na mimi niweze kueleza niliyo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
nipokeeni ndugu zangu mi mgeni ktk mtandao huu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima zenu wakubwa naombeni mnipokee humu ndani
0 Reactions
3 Replies
691 Views
mambo vp wakubwa NIPOKEENI MI MGENI
0 Reactions
7 Replies
733 Views
Hello!!! i am a new member in jf. how do you do my fellow membes?!!!
1 Reactions
6 Replies
646 Views
Back
Top Bottom