Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ninafurahi kujumuika nanyi kupitia jamvi hili adhimu na lenye mchango mkubwa kwa jamii yetu. Tafadhari nipokeeni ili nami niweze kushiriki kwa namna mbalimbali juu ya yale yanayoihusu jamii yetu...
0 Reactions
6 Replies
764 Views
Aisee asante sana jf kwa kunikaribisha humu ndani,by the way salamu kwa wote wanajf ,tupo pamoja kulonga na kuwekana sawa
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Wapendwa wandugu na wadada mpoo,nawasalimia wooooote na mungu azidi kutupatia afya njema ili tuweze kusaidiana kimtamzamo,zaidi tukiwa na hofu ya mungu.!!
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Hodiii
0 Reactions
4 Replies
579 Views
hellow wakuu wote wa jf...kamanda mpya naombeni mnikaribishe
0 Reactions
5 Replies
660 Views
Habari ya leo ,naomba mwongozo kwenu wakongwe wa jamvii hili
0 Reactions
4 Replies
588 Views
Habari za jioni hii Wana JF, Baada ya kuwa msomaji wa habari za jf kwa muda mrefu hatimaye na mimi nimejiunga ili niweze kuwa mchangiaji. Naomba mnikaribishe akina chibolo ,emeka anyauka, nyani...
0 Reactions
7 Replies
789 Views
Naomba msaada namna ya kutuma thread kwenye jf.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow..am a new member here
0 Reactions
4 Replies
667 Views
Hello! Wana JF naombeni mwongozo wa humu ndani mie ndo kwanza nime ingia leo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Am so happy to join the GF programme Hoping we gonna be together
0 Reactions
5 Replies
688 Views
Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers
1 Reactions
7 Replies
981 Views
Habari zenu wa JF..mimi ni mgeni naombeni tushirikiane katika kuleta mawazo mbalimbali yatakayoleta maendeleo katika nchi yetu.
0 Reactions
7 Replies
812 Views
Ndio kwaaanza najifungua toka ndani ya nailoni hata siti kava sijazitowa nailoni zake, naombeni mnipe kampani kwa nia njema ya kusongesha mbele Taifa letu! Basi semeni ,Karibu!
0 Reactions
5 Replies
822 Views
Hellow JF members
0 Reactions
5 Replies
717 Views
Nakuja kufanya kazi nzito nipokeeni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF...Mimi ni mgeni naomba mnipe ushirikiano
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inanpa raha, utamu na hca kali juu ya maisha haya na yale. Nmeipenda xn.
0 Reactions
3 Replies
807 Views
Hodi wana JF.
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Aisee hii ni bf!.........
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Back
Top Bottom