Mi mgeni wenu wajameni!
Mambo ya FB nimeyaweka pembeni na nimekuja humu kwa maamuzi yangu ya kujenga Nchi yangu kwa Moyo mkunjufu!
Naombeni mnipokee na kunirekebisha pale nitakapokosea...
Habarini Ndugu zanguni member wote wa Jf
Mi ni mgeni wenu hapa jukwaani!
Msinitenge na pale ninapokwama naombeni mwongozo!
Mi na LiverpoolFC ni Ndugu moja!
Asanteni sana!
Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia...
Hodi humu ndani.
Jamani nimeamua kujiunga humu JF rasmi bada ya kukaa nje nikisoma comment za watu mbalimbali humu ndani,imefika wakati sasa nimeamua kujiunga ili na mimi niweze kueleza niliyo...