Ninafurahi kujumuika nanyi kupitia jamvi hili adhimu na lenye mchango mkubwa kwa jamii yetu. Tafadhari nipokeeni ili nami niweze kushiriki kwa namna mbalimbali juu ya yale yanayoihusu jamii yetu...
Wapendwa wandugu na wadada mpoo,nawasalimia wooooote na mungu azidi kutupatia afya njema ili tuweze kusaidiana kimtamzamo,zaidi tukiwa na hofu ya mungu.!!
Habari za jioni hii Wana JF, Baada ya kuwa msomaji wa habari za jf kwa muda mrefu hatimaye na mimi nimejiunga ili niweze kuwa mchangiaji. Naomba mnikaribishe akina chibolo ,emeka anyauka, nyani...
Ndio kwaaanza najifungua toka ndani ya nailoni hata siti kava sijazitowa nailoni zake, naombeni mnipe kampani kwa nia njema ya kusongesha mbele Taifa letu! Basi semeni ,Karibu!