Habari zenu wapendwa, mimi ni mgeni humu Jf na ni furaha kubwa kujiunga humu na nyie waungwana nina imani tutashirikiana, shauriana, wasiliana na kuelemishana kwa pamoja waungwana
Nimeona categories tofauti je category hii zaidi humu kunazungumzia nini hasa au ni vitu vya aina gani vinaruhusiwa kupostiwa humu unajua ukiwa mgeni japo huna kamba mguuni ila ni wajibu...
For almost over 4 years I been a JF member perusing and kept myself active member.
This platform is a good way of adressing things hoped for , I got skills any more uncounciously.
Ahsante wanaJF...