Hamjambo member wote wa JF?
Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani.
Awali ya yote napenda...
Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe...
Habari ndg, jamaa na marafiki, nitakuwa Rayns kwa humu, naombeni mnipokee kama member mwenzenu, nitafurahi mkinielekeza pia namna ya kuishi humu, kuna watu pia na wafahamu kwa taswira ya kufikiria...
Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa.
Nimekuwa nikisoma...
Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa.
Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo...
1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF...
Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante...
Wakuu habari za siku nyingi humu jukwaani, ninaimani wote ni wazima wa afya na awali kabla ya yote napenda sana nitoe pole kwa members wote tuliokuwa nao na leo hii hawapo humu jukwaani ama ni...