Wenyeji, nimejiunga na jamii forum siku mbili zilizopita and I'm already overwhelmed with active participation and critical thinking in here. Happy to be here.
Little about me:
Manchester United...
Nipokeeni ndugu zangu kwa mikono yenu yoote miwili. Nimekuwa nikipitia thread zenu wakuu pasipo kuchangia daaah,nimeona nakuwa napitwa maana kuna thread nyingine ni tamu kweli kweli, nyingine zina...
hodi members, kidogo nilionja neema ya 60s na 70s ningependa niwe kama yule mzee kifimbocheza. std 5 ktk somo la haiba na michezo wanajifunza karata draft na bao!!!
Nikaribisheni wakuu nilikuwa mpitaji tu, nikawa navutiwa day after day. Kuna thread zenye kuhuzunisha na kuliza but,,, kuna zingine ni taaaamu inafika mahala ukisoma bila kukoment chochote unaumia...
Nakuja kwenu wafikiriaji na wafikirishaji makini, nategemea kujifunza na kufunza mengi hapa JF. Nilikuwa nje nikaona jinsi mnavyofaidi humu, nimeamua kuwafuata.
Sifungamani na dini yoyote wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.