Habari za leo wana JF kwanza kabisa namshukuru Mungu kwakunipa kibali cha kujiunga nanyi katika jukwaa hili.
Zaidi sina chakusema ila tu ninaomba ushirikiano wenu katika mda tutakao kuwa wote...
Indeed I do appreciate JF;impresively I have been excited to let myself inn;most of all,JF has been a place where people can talk,express and share what is of important and has an impact to the...