Kwa muda mrefu nimekuwa mtazamaji tu wa JF na kwa hakika nimekuwa addicted mno na hoja na mijadala ya humu kama mgeni tu, hatimaye na mimi baada ya kuitafuta njia ya kuingilia JF ili niwe mwenyeji...
Mimi ni mgeni hapa jf ila nimevutiwa sana kwa mawazo na ushirikiano wenu katika kusaidiana naomba mnipokee vyema ili tuendeleze hizi harakati. Ahsanteni
Habari zenu wadau,
Naomba mnipokee kwenye Jamii iliyo na kila kitu nami niweze shiriki
Natangulisha shukrani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mambo wanajamii wenzangu..nimejiunga humu kujua jinsi dunia inavoenda na kuweza kubadilishana nanyi mawazo aisee,pamoja tunawezaaaaa.......
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
I'm proud to join the esteemed forum. Wajumbe nawavulia kofia maana nilikuwa msomaji kama mgeni tu ktk jukwaa hili. Nimeona sasa nijiunge ili nipate full access.
Mnipokee tafadhali
1.mimi ni mjasiliamali. Shughuli zangu ni biashara, hivyo ninampenda sana m2 anaejiamini na kufanya shughuli halali zinazomwingizia kipato ili kuhakikisha mkate wa siku unapatikana. (2) napenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.