wakubwa shikamoo.
Wadogo zangu marahaba,
wa rika langu wambo niaje,
ni mgeni ndan ya jamvi, naomben kupokelewa, 2juzane,2elimishane,2kosoane na kuwekana sawa inapobd. Asanteni.
Nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu wa jf,sasa nimeamua kujiunga nanyi wandugu,natumai nami nitafurahia jamii hii.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimi nikiwa mgeni humu ndani naomba kujiunga nanyi ili tusaidiane na kujengana kimawazo na hata kiuzoefu wa maisha. Nawapongeza nyote wana jamii mnaotoa michango chanya na mizuri kwa kuisaida...
Habari zenu wanajamii,
Naitwa Ashura Jamaldin, am new here.nilikua nasoma mengi humu as a guest but nimejifunza mengi nimeona bora nijiunge.
Hope to learn more.
Thank u in advance.
habari zenu,Mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae Mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.