Nafurahi sana kujiunga katika jamii hii ya watu wenye kufikiri sana, naamini sijapotea na ninamatumaini ya kulelewa vyema sababu me bado ni jani dogo ambalo linatakiwa likuwe kama mbuyu...
hodi hodi uwanjani,wana jamvi mnikaribishe,nimej=kuja na nasaba na nyingi nasaha,naomba mnitunze na mengi mnijuze.ukweli kwangu jadi uongo na unafiki kwangu mwiko,mzalendo wa haja mwenye nyingi...
Mgeni mpya bw Ludovic. Nimekuwa nikifuatilia JF tangu mwk 2008 ila sikupata kujiunga awali nilikuwa mushamba mwenzenu kutumia haya ma PC na wahindi nao wanatubana na kazi zao ka mushahara kadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.