Habar jhenu bandugu humu JF! jamani mi ni mugeni kenye nji huu! ila naomba munisamehe kani kiswahili yangu sio muzur sana sana, ila ni matumaain yangu mutanielewa, asante!
Wanajamvi nimeingia kilingeni,mechoka kusoma post za watu afu nashindwa changia.kiufupi mi ni kijana handsome wa kufa mtu,umri wa kati hv yani 26,tajiri flani, well educated,nina masters zangu...
Natumai wote mko powa, mimi ni mgeni hapa, nimekuwa nikifatilia post mbali mbali kwa muda mrefu sana na kujifunza pia kutoka kwa wadau juu ya mambo tofauti tofauti. Jana nikajiunga rasmi...