Nawasalimia wadau wote wa JF.Mimi nimdau mpya wa jamvi hili nikiwa Kigoma huku tulipovamiwa na majangiri na mafisadi.Naomba ushirikiano wenu ktk kufanikisha kupeana habari zenye tija kwa taifa...
Kila mtanzania ni kaka ama dada yangu. Maishan mwangu huumia sana nionapo ndugu zangu waumia. Nionapo fujo moyo wangu husononeka naombeni ndugu zangu tuitunze amani.
Ijapokuwa tu wa dini tofauti...
Hi JF family,
I am a new member registered over a couple months back. However, I have not posted anything just yet because I'm still acquainting myself with the forum. The forum has much to offer...