Hodi humu ndani.
Naomba mnipokee jamani katika ulimwengu huu wa watu wenye fikra pevu. Nitashirikiana nanyi kwa uadilifu na utiifu huku nikiheshimu sheria za JF.
i hope we will get together from now onwards and get share different matters concerning different aspects like social,political, economic n.kso im verry happy to join with u guys!
Hello JF members! nawasalimu kwa jina la mungu, mimi ni mtanzania mwenzenu ninayekubali mabadiliko na kwa kuthibitisha hilo nimeamua kujiuna nanyi mliyoyapokea mapema katika kubadilashana mawazo...