Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Oyaa wana JF, ni member mpya mtaalam wa kuchangia mada zote. nitaanza kufanya vitu early next year
0 Reactions
13 Replies
1K Views
nimekua nikiisikia 2 jamiiforums wa2 wakiitamka na kwenye mitandao na brogu tofaut tofaut. lakin nilipo itembelea kwa mara ya kwanza sikuamini nilicho kikuta kweli jf ni the home of great...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ID iliyo na jina langu la bandia katika jukwaa hili. Sasa naona umuhimu wa kutumia majina yangu halisi, hii itapelekea kufahamiana, kuibua na kujenga hoja...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
ninayo furaha saana kujiunga jamii forum leo
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Wadau mm nawapa hi wote japo nimejiunga muda kidogo ila sijawahi wapa hi say hello o jfm. Tuko pamoja
0 Reactions
7 Replies
891 Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, am new here just greetings
0 Reactions
7 Replies
776 Views
Hodi hodi, jf wenyeji naombeni mnipokee? I think this is the place of sharing ideas!
0 Reactions
2 Replies
613 Views
Nafurahi kuwa sehemu ya great thinkers,hope tutashare mambo mengi.JF viva forever
0 Reactions
7 Replies
767 Views
Habari zenu wanajukwaa. Poleni sana kwa majukumu ya kila siku!
0 Reactions
5 Replies
719 Views
Taratbu jaman mabomu vrungu na smg zote nimeziacha nje nimekuja kama raia mwema me mgen wenu nahitaji sapot yenu nahtaj wenyej wakunitembeza kila kona na mtaa wa jf axanten
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamujambo. Natafuta urafiki na kubadilishana mawazo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi ni macku yangú mapya ktk kioo cha jf naombà maamkizi mema wenyeji
0 Reactions
6 Replies
997 Views
Nawasalimieni wote wakubwa zangu shikamoo!vijana wenzangu mambo na wadogo zangu hamjambo!mm ndo mara yangu ya kwanza kuja hapa jamvini naomba mnipokee kwa mikono miwili,asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hello every member wa jf
0 Reactions
9 Replies
913 Views
Mambo zenu?
0 Reactions
5 Replies
854 Views
hodi hodi natokekea fb niko kitambo hapa ila nilikua napita tu na nilikua facebook lakini kule to much kidding dats y nimeona leo nijiunge rasmi kama member mnipokee pls na nawatema rasmi fb...
0 Reactions
2 Replies
639 Views
hi people, nice to join this forum, im new
0 Reactions
5 Replies
767 Views
hodi hodi natokea fb nasikia humu jf ni wakarimu mfano wa mshumaa
0 Reactions
3 Replies
840 Views
JF Natuaini waote poa! Na mnaendelea vema na shughulenza maisha. Leo nimeonami nijiunge na kuhusina na memba wengine moja kwa moja. Nategemea nitapkelewa vema!! Shukran sana! Jazzman n theh...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Naona haitoshi kukaa na kuangalia tu,watu wanatoa michango hafifu na muelekeo wa jf unabadilika. kubwa zaidi maadili ya wengi yanatia shaka, nimeona si vyema kukaa kando bila kuja kupaza sauti...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom