Wakuu nimekua nikisoma sana posts za humu JF kwa muda mrefu sana na nikagundua kwamba huu ni mtandao makini wenye kuelimisha , kuhabarisha n.k.
Sasa leo nimeamua rasmi nijiunge.
Nimekua na ID mwaka mzima sasa, lakini nimeona ni vema uanzapo mwaka mpya (Mungu akijalia); niwe member rasmi.
Naahidi kua mwana jamii anaestahili baada ya kua nanyi kama observer.
Sent from my...
Shikamoni mliomo humu ndani kaka & dada zangu. Kwa kweli nimefarijika mdogo wenu kwa KUIJUWA mtandao huu ambao watu wanajadiliana mambo mbalimbali kama elimu, afya,vichekesho, siasa n.k
Jina...
:evil::wof::wof::flock::israel::israel:nashukuru kwa kunikaribisha humu. sheria ntzfuata wala hamna tatizo lkn salam hiyo isiwashtue kwan napenda kujua kama wpo hai uku thanqqqqxxxxxxxxxxxx great...
Ving'amuzi vs Simu za Mkononi (Mobile Phones)
1. Vyote vinatumia Chip (Programmed Chip Cards) - kwa cimu, tanzania imezoeleka kama lines.
2. Kwa mujibu wa technolgia huduma (services) nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.