Wapendwa nimepata sifa zenu kwamba wana JF ni wakarimu kupita maelezo, naomba tujumuike pamoja mnipokee nione huo ukarimu wenu ili nami niwaonyeshe ukarimu wangu na hekima nilizonazo hodi humu ndani.
Kwa mara ya kwanza kuifahaham jamii forum nilivutiwa sana na kuwa natembelea kila siku ktk mtandao huu maarufu hapa mchini kama guest.hivi majuzi let say mwaka jana nilipata bahati kuingia humu...
Salaam,
Napenda kujumuika nanyi katika jambo ambalo linanikera mara kwa mara,haswa juu ya mali na ukomo wake,matumizi na hata utunzaji wake.
nilijaribu kuangalia fedha inayoweza kumtosha mtanzania...
Kwanza naomba niwatakie wana jf wote heri ya mwaka mpya.Nawashukuru wana jf kwa kwakunikubali kua pamoja nao ktk mtandao huu jf.Naahidi kua mwaminifu kwao na pia kushikiana nao ktk kila jambo.Ni...
Habari zenu wana jf naomba mnipokee katika jukwaa letu kwa lengo kuu la kuongeza uwezo kuchambua mambo ktk masuala mbalimbali kama siasa, uchumi ,jamii na mengineyo hodi hodi jaman.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.