Wakubwa zangu Shikamoo na vijana wenzangu Mambo Zenu.Ni mgeni hapa Mtaani,nimeona sio vibaya niwajulie hali kabla
sijauliza Uchochoro wa ma Mtaa unaoitwa JF ni upi?
Before the end of 2012 it wont b a waste if i stop being an observer in here bt an advantage 2b a participant!before 2013 wana JF will you plz let me in.....!?thanx in advance!
Wakubwa kw wadogo mpoo?mwaka mpya2013 oyeeee! Si mwingine bl ni kijana MSHAMBA KUTOKA A.TOWN. Mtanikaribisha???wapi sauti z wenyeji wakarimu???jamani lisiwe deni tumalize yote y 2012!!karibu
Ni fursa ya kipekee na ya muhumu sana kwangu kuwa na wanajamii kwenye hii forum, nimefurah na ninaahid kutoa ushirikiano huku nikizingatia kanuni na masharti,
Jamani nipokeeni kijana wenu nimekuja kwa lengo la kuelimishana na kutetea masrahi ya Taifa hili yanayo liwa na wachache ambao tunaweza kuwaita mafisi.
Naombeni ushirikiano wenu.
Hi to all JF members, I ask your cooperation in different discussion topics. Allwahs I like to share idear with different in various matters in political, social, economics, sports and other...
Saying hallow to you in the last day of the year is not by chance
Count it is miracle to have me in your forums
Though my name is inferior I am shining like a star
My brain is wow
My i come in...
wana jf nimeingia kwenye meli ya greate thinkers.this country will be built by great thinkers and we dont hv to let those with greate PUMBAZ to destroy it.
Baada ya miaka kadhaa ya kuchungulia kama mgeni,sasa nimeamua kuingia ndani nami niwe mmoja wenu. Nitachangia na kuchangiwa hoja. Mko poa lakini?
Tupo pamoja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.