Napenda kuomba kuwa mwanachama mpya wa jammi forum!
Kwanza nawapongeza wote wale walokaaa na kubuni chombo hiki ambacho kinaelimisha jammi, Hongereni sana na mungu awasaidie na awajalie maisha...
Nimeamua Rasmi kuketi kwenye Jamvi hili la JF, naamini ni sehemu muhimu ya kutoa mawazo yangu na kuwafikia walengwa moja kwa moja katika lengo la kurekebisha,kukosoa na hata kupongeza ikibidi...
hodi humu wajameni, ukumbini naingia
kunilaki kazaneni, hoja niweze changia
nafasi pia nipeni, maswali kuulizia
pengine tena sioni, humu kufananishia.
mara baada ya shairi hilo la utambulisho...
Wana JF, kwa heshima na taadhima naomba mnikaribishe humu ndani kwani nimechoka sana kukaa nje. Bila shaka naamini mtanikaribisha bila hiyana. Ahsanteni sana.
Habari za muda huu mabibi na mabwana,natumai wote ni wazima tena wenye afya tele,
Napenda kuchukua nafasi kumpongeza Mwanzilishi/Waanzilishi, ma cordinador na wana jamvini wote kwa jukwaa hl...
Hello! Ma bibi na ma bwana. Hamjambo wote? Mimi ninaitwa "kasiko" jina hili ni la kilima kimoja kikorofi kama ilivyokuwa mlima Sekenke, kiko kule kwetu karibia na nyumbani, katikati yake kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.