Habari zenu ma bibi na mabwana im new user of jf hivo naomba ushirikiano wenu ktk kila jambo na endapo nitawakosea basi hamna budi kunisameie.......nawatakieni JUMAPILI TULIVU
abarini zenu? naombeni mnipokee nyie, huwa naingia sana kama guest, ila kuna wakati natamani kuchangia nakua nashindwa.. naombeni msiniite masalia, gwanda wala magamba mimi sio mshabiki wa vyama...
Najaribu kutafakari utayari wa watanzania,juu kuungana kwa nchi za ukanda wa afrika mashariki kenya,tanzania na uganda na possibly rwanda na burundi ktk nyanja za kiuchumi,kijamii na...
Habari wana jamiiforums?
Naitwa Allen Shembilu na nipo Dar, na ninafurahi kujiunga nanyi kwenye jamii forum hii.
Naamini mmenipokea na naahidi ushirikiano ndugu wana jamiiforums.
Wana JF nasema habari zenu kwa pamoja!
baada ya kuifatilia JF kwa mda wa kutosha na mimi nimevutiwa kuwa mmoja wa wachangiaji nikiwa naamini ni mwanamapinduzi wa kweli katika harakati za kuikomboa...
Mi nilikuwa najaribu tu lakini baada ya kuangalia vilivyomo ndani kweli nimekubali jamii forum ni ya jamii na sibanduki naomba mnipokee kwa mikono miwili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.