Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nawasalimia wakuu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa naomba baraka zenu.
0 Reactions
8 Replies
795 Views
habari..am new here
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Hello,nice to be jamvini
0 Reactions
4 Replies
959 Views
hello...wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze... mie kuku mgeni..
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Naamini huu ni umoja wa wamoja na hapa ni mahali pa kupata maarifa pia! Nimeshakaribia.
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi wadau wenzangu nipokeen lakini wakati nasubiri chai nipatien soda tuendelee na story.
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Naomba mnikaribishe wana JF ninayo hamu sana na hii Forum. I love it.
0 Reactions
7 Replies
837 Views
naamin wote mko sawa siku ya leo ..kumbuka leo ni weekend cha msingi ni kuwa makin na kufanya maandaliz ya kesho
0 Reactions
4 Replies
975 Views
Habari zenu wanajukwaa?
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Asalaam Aleikum wanajamvi wote! Sasa nimeamua rasmi kuwa mwanajamvi baada ya kuwa mfuatiliaji wa JF na kuridhika kuwa huu ni uwanja wa Demokrasia ulio wazi kwa kila mcchezaji. Nawashukuru waasisi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Yah habari zenu wana JF,fursa nzuri Sana kuwa katika jukwaa hili kwani Mambo yanayoopatikana humu nadhani Ni mda wa ku think great
0 Reactions
6 Replies
637 Views
Mgeni huyu
0 Reactions
4 Replies
700 Views
aje bandugu humu?
0 Reactions
5 Replies
636 Views
Wana jf nimerudi toka jelaa jela ni mbayaaa hii ya jf ukishakuwa jela huna uhuru tena wa kuchangia taaabu tupu
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kuku mgeni hakosi kamba mguuni.....
0 Reactions
6 Replies
903 Views
Karibuni arusha kwa Xmas
0 Reactions
4 Replies
848 Views
niadje wana jamii.. nafurahi kuwa katika jamii ya watu makini!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wandugu naomben mnikaribishe ndan ya jf nikaribishen basi
0 Reactions
4 Replies
727 Views
nawasalimu kwa tukufu la JF.nimefurahika kupata nafasi ya kujiunga na jamii hii.nimeamua kuacha kugoogle jamiiforums naombeni mnikubalie kuingia moja kwa moja.
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Back
Top Bottom