Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
ndugu wa Tanzania wenzangu naomba munikarubishie ili kuongeza nguvu na kasi ya mabadiliko nchini...
0 Reactions
8 Replies
881 Views
Jamani wana jf mi mgeni huku kabisa japo nilikuwa nachungulia kwa mbali, wenyeji jamani nielekezeni mahali pa kutua mizigo yangu mi ni mgeni wenu jamani, nani yuko hapa mlangoni jamani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
namie mgeni humu
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Jamani nawasalimia 2 wenyeji. Hiiiiiiii
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Salaam Wakuu. Baada ya kuwa guest kwa muda kidogo nmeamua kuingia kilingeni rasmi leo. Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
848 Views
Habarini za mchana wana JF? Kiukweli na kwa moyo wa dhati kabisa nimeamua kujiunga humu ndani ili tuweze kuunganisha nguvu katika kuipigania nchi hii. Nimekuwa nikichungulia tu mawazo yenu kama...
0 Reactions
10 Replies
993 Views
Habari zenu jf members,nimekuwa guest member for a long tym,nimeamua kujiunga kuwa a member kabisa!!:happy:
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Hodihodi naingia,JF kuj'achia moyoni nimenuia,mawazo kuwaletea Kwanza nawasalimia,nikitokea Songea Munipokee jamani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi.,baada ya kupitia jf kama guest sasa nimeamua kuwa member kamili wa jf. Naombeni mnipokee kwa moyo mkunjufu na tushirikiane jaman
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana jf.mi ndio nimetua mjengoni naomba mnipokee.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanakijiji wa Jf.....hodi hodi naingia!
0 Reactions
5 Replies
802 Views
Habari yenu, jamani niko pamoja na nyie kwenye familia hii ya JF kuanzia leo.
0 Reactions
2 Replies
792 Views
start to wak up!
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Ndani jF mwewapangaa!
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Habari zenu people?
0 Reactions
7 Replies
943 Views
a man frm mby.
0 Reactions
3 Replies
836 Views
heloo jf home of the great thinkers...........nice to be here
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Naombeni msamäa kwa ku ingia bila ruhusa ,hivyo bas naombeni ruhusa coz nimelamba asali ya JF na kinachofuata ni kuchonga mzinga.
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Jamani Mabibi na Mabwana naomba Mnikaribishe Jamvini
0 Reactions
5 Replies
814 Views
wanajf wenzangu mnipokee kwa mikono miwili,
0 Reactions
3 Replies
748 Views
Back
Top Bottom