Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naipenda jf lng time na nimekua visitrs!! Bt nw napenda jiunga nanyi wana jf. Hope ntajifunza meng sna humu ndugu zngu.
0 Reactions
8 Replies
838 Views
Hello, JF members, get introduced to a new member, Plato Magele
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hodi hooooodi naingia, uwanjaaaaani najimwaga, mnikaribiiiishe jamani, nijisikiiiiie nyumbani. Asanteni sana nina imani mtanipokea kwa moyo mkunjufu na kushirikiana nami siku zote.
0 Reactions
12 Replies
997 Views
jamani mi ni new member humu :bange:
0 Reactions
11 Replies
1K Views
msingi wa Taifa lolote ndio unaofanya Taifa hilo kuwa na sauti moja,mwelekeo mmoja,Amani,Umoja na mawasiliano.Taifa linapokuwa haliujui msingi wake hushindwa kuutunza,kuulinda na kuutetea...
0 Reactions
7 Replies
997 Views
C mgeni sana bt nnauzoefu wa kukaa nje ya jukwaa c njini ya mwaka 1.5 sasa, heloo again kwa kuchangia
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Mpo jamani?
0 Reactions
6 Replies
813 Views
Me,me mgeni humu jf.nabisha hodi,nami nataka kuleta maarifa yng.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hod hodi humu ndani
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Napenda kujitambulisha rasimi. Mimi ni member ambaye nimekuwemo tangu oct,2010. Naombeni mnipokee kwa mikono 3.
0 Reactions
4 Replies
735 Views
Wana ja_fo mm ni member mpya nahitaji ushirkiano wenu pindi niwapo jamvini.
0 Reactions
7 Replies
927 Views
hongera vyama vya siasa kenya kwa kufanya miungano ya kisiasa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow there, its great to meet you in this page!
0 Reactions
4 Replies
892 Views
wanajamii naomba mnipokee...mwanajamii mpya mwenzenu.
0 Reactions
4 Replies
730 Views
Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! Wakuu Kisukuma kinaruhusiwa humu ndani? IKEMEFUNA IN DA HOUSE!!!
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Naomba kuingia humu ndani!
0 Reactions
4 Replies
606 Views
nashukuru admn kwa kupata nafasi hii ya kuwa mmoja ya wana JF kwani naamini ni sehemu ambayo nitazidi kujifunza mengi kwani jamvi hili ni zaidi ya darasa!na nipende kuwasali heshima yenu wakubwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu jamani tutakuwa wote from now! I like ur views nimevutiwa kujiunga nanyi! Thanx
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jf? Kuntakunte ndo jina langu,.ningependa kuonyeshwa njia kwani mimi ni mmoja wa wapenzi wa jf..so naombeni saport yenu wakuu..
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini humu jamvini?mimi ni mgeni naomba ukarisho wenu waungwana! Kwa bahati kwa wale wa pinzani ningependa kuwataarifu kwamba mimi ni mwanachadema damadam!na declare interest!
0 Reactions
9 Replies
889 Views
Back
Top Bottom