nimekua nikiisikia 2 jamiiforums wa2 wakiitamka na kwenye mitandao na brogu tofaut tofaut. lakin nilipo itembelea kwa mara ya kwanza sikuamini nilicho kikuta kweli jf ni the home of great...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ID iliyo na jina langu la bandia katika jukwaa hili.
Sasa naona umuhimu wa kutumia majina yangu halisi, hii itapelekea kufahamiana, kuibua na kujenga hoja...
Taratbu jaman mabomu vrungu na smg zote nimeziacha nje nimekuja kama raia mwema me mgen wenu nahitaji sapot yenu nahtaj wenyej wakunitembeza kila kona na mtaa wa jf axanten
Nawasalimieni wote wakubwa zangu shikamoo!vijana wenzangu mambo na wadogo zangu hamjambo!mm ndo mara yangu ya kwanza kuja hapa jamvini naomba mnipokee kwa mikono miwili,asanteni
hodi hodi natokekea fb niko
kitambo hapa ila nilikua napita tu na nilikua facebook lakini kule to
much kidding dats y nimeona leo nijiunge rasmi kama member mnipokee pls
na nawatema rasmi fb...
JF Natuaini waote poa! Na mnaendelea vema na shughulenza maisha.
Leo nimeonami nijiunge na kuhusina na memba wengine moja kwa moja.
Nategemea nitapkelewa vema!!
Shukran sana!
Jazzman n theh...
Naona haitoshi kukaa na kuangalia tu,watu wanatoa michango hafifu na muelekeo wa jf unabadilika. kubwa zaidi maadili ya wengi yanatia shaka, nimeona si vyema kukaa kando bila kuja kupaza sauti...