Kuanzia kesho kutwa najipa majukumu ya ushushushu kufuatilia nyendo zenu,utafiti nilo ufanya unaonyesha lobo ya wageni mnao kuja ni wale mnao kuwa na Id zaidi ya moja.kwa member wa zamani na wapya...
Mimi ni Mtaalam katika Masuala ya Elimu,(Mkufunzi wa Vyuo vya Ualimu) Sayansi ya Viumbe(Biolojia) na Utawala- Bsc Ed,TEP na Masters ya Administration, Planning na Policy Studies.
Naomba...
ni mgeni na napenda kujiunga na wanajamiiforum wenzangu kuchangia,kuelimishana na kusaidiana katika mambo mbalimbali tunayokutana nayo katika maisha yetu ya kila siku.asanteni