Wakuu nawasalimu wote nadhani mu wazima bali kwa wale wenye madhaifu basi Muumba wao awarejeshee kilichopungua na wapate kufurahi pamoja nasi.
Kwa wale waliotangulia mbele ya haki basi nasema...
Jamani sina Balaa ila kama ukilitaka utalipa, naomba ukaribisho kijijini hapa jamani. Stori za huku kwetu ukizitaka nitakusimulia ila sharti uwe na moyo mgumu maana ni za kusikitisha na kuogofya sana.