Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
me ni mgeni hapa jamii forum, wadau naomba mnikaribishe
0 Reactions
4 Replies
731 Views
habar zenu wana JF, nimevutiwa na mada mbalimbali zitolewazo humu jamvini. Nafikir nitajengeka zaid kimawazo baada ya kujoin na wadau wa JF. Asante!
0 Reactions
7 Replies
744 Views
Habari wana jamii. Nafurahi kujiunga nanyi leo. Naomba muongozo maana uelewa wangu kumu jamvini bado ni mdogo. Asanteni sana
0 Reactions
7 Replies
870 Views
guys natafuta nyumba ya kumbanga vyumba vitatu bei from 300,000 hadi 450,000. maeneo ya sinza,kinondoni, au popote karibu na morocco.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi!
Post zangu hazionekani.moderators what shuld i do?
0 Reactions
2 Replies
529 Views
hi people im new here.. i need ur cooperation
0 Reactions
17 Replies
2K Views
am new here, want to say hello to you all JF MEMBERS.
0 Reactions
8 Replies
934 Views
nipo humu kitambo,sijawahi kujitambulisha,nimeona nipite kusalimia.
0 Reactions
6 Replies
671 Views
mimi ni mtumiaj mpya wa JF nmekua nikiisikia toka mwaka jana lakin siku zinavozidi kwenda ndo nazid kuhamasika kutokana na sifa zake kutoka kwa wadau,ndo sababu name nimeamua kujiunga ingawa sijui...
1 Reactions
3 Replies
681 Views
hey bros n cstaz am a new comer in this site so i take ths opportunity 2 beg u 2 give me a direction.....!!!!
0 Reactions
4 Replies
663 Views
habari zenu ma bibi na ma bwana,mi jamani ni mgeni hapa nahijati ku share nayi mambo mbalimbali,natanguliza shukran za dhati
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wajameni wakuu hodi, nimefurahi kujiunga leo Asanteni
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Jamani kwa heshima na taadhima naomba mnipokee ndugu yenu, ninahisi kwa kuja hapa nitatua mizigo niliyonayo, naomba mnipokee kwanza, ili nikishakaribishwa ndani niweze kutoa yale yanayonisibu ili...
1 Reactions
5 Replies
999 Views
Hodi wakuu. Nimejiunga na jamvi leo. Shukran
0 Reactions
5 Replies
843 Views
Hodi humu ndani, nimechoka kuw Guest for so long! Tujuzane.....
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Hi
Hi Brothers and Sisters
0 Reactions
3 Replies
722 Views
Naomba kukaribishwa...chakula ninacho...nimebeba mambuta,masato,mambute na mahela niliyo yapata baada kuuza mang'ombe huku kwetu Magu- Mwanza
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hello guys
0 Reactions
8 Replies
787 Views
Naomba kukaribishwa wana JF. Hodi
0 Reactions
12 Replies
998 Views
jamani mi mgeni humu ndani
0 Reactions
4 Replies
850 Views
Back
Top Bottom