Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hope everyoe is ok around here PAMOJA!!
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Habari zenu wana jamii!mm ni mgeni jamani,naomba kujua taratibu za hapa,mana nimesikia mengi!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu...!Mi ni mpya jamvini plz accept me to be part of this huge na nice family of jamii forum,love you all.!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam kwa wote, ninajitambulisha kwa jina la byonauna naomba kufunguliwa milango yote jamvini ili tushirikiane kuijenga nchi ye2 Tzania
0 Reactions
4 Replies
697 Views
Wana JF wote nategemea mtanikaribisha kwa mikono miwili.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari wandugu, mm ni mgeni naomba munipokee nimejiunga baada ya kuvutiwa na mada na najipa pole kwa kuchelewa kuligundua hili
0 Reactions
4 Replies
728 Views
hi,im new in this forum although my swahili is terrible(im aa kenyan) im happy to be here.mtanisamehe kiswahili yangu sio timamu lakini ningefurahia kuwa mmoja wenu
0 Reactions
7 Replies
852 Views
dah! Nimerudiii, nimerudiii, nimerudii. 4 MORE YEARS. UTANITAKA?
0 Reactions
11 Replies
974 Views
Hello Jamii Forums.
0 Reactions
4 Replies
652 Views
mambo ni aje wana jamii?
0 Reactions
5 Replies
687 Views
helow....guys..im new here...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
1 Reactions
11 Replies
951 Views
hello guys..am new in the forum so will be gratefull and thanksfull kama mtanikaribisha kwa mikono miwili....:attention:
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Respect to all!!
0 Reactions
3 Replies
735 Views
habari wana JF,nafurahi kujumuika na nyie hapa.
0 Reactions
4 Replies
959 Views
Nimerudi tena ulingoni baada ya kuwa ughaibuni mzee wa ku-test na kidole kwanza kabla sijanasa!
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Nimekuwa naibia busara zenu kwa muda mrefu nikiwa nje ya jamvi. Nimejikuta navutika kuingia ndani ili nami pia nijifunze zaidi toka kwenu kwa mada zenu, kwa kujenga hoja, na kujadili mambo mbalimbali.
0 Reactions
4 Replies
635 Views
helo JF members, wazima jamani, nikaribisheni tuweze kubadilishana mawazo
0 Reactions
5 Replies
675 Views
Amani iwe kwenu wana JF. Nami nimejiunga baada ya kuvutiwa na mada, ushauri, maoni na mengineyo yaliyomo humu jamvini. Naomba nami niwe mmoja wenu.
0 Reactions
4 Replies
653 Views
Habari zenu wanajf
0 Reactions
6 Replies
685 Views
Back
Top Bottom