mimi ni mtumiaj mpya wa JF nmekua nikiisikia toka mwaka jana lakin siku zinavozidi kwenda ndo nazid kuhamasika kutokana na sifa zake kutoka kwa wadau,ndo sababu name nimeamua kujiunga ingawa sijui...
Jamani kwa heshima na taadhima naomba mnipokee ndugu yenu, ninahisi kwa kuja hapa nitatua mizigo niliyonayo, naomba mnipokee kwanza, ili nikishakaribishwa ndani niweze kutoa yale yanayonisibu ili...