hi,im new in this forum although my swahili is terrible(im aa kenyan) im happy to be here.mtanisamehe kiswahili yangu sio timamu lakini ningefurahia kuwa mmoja wenu
Heshima kubwa sana mbele yenu wakuu , nimeingia bila hodi na nilikuwa kimyaa ! Nilikuwa nausoma mchezo , Shortly nimekuja ku add value ya Jf , nipokeeni .
Nimekuwa naibia busara zenu kwa muda mrefu nikiwa nje ya jamvi. Nimejikuta navutika kuingia ndani ili nami pia nijifunze zaidi toka kwenu kwa mada zenu, kwa kujenga hoja, na kujadili mambo mbalimbali.