Habari zenu wana-janvi,ni matumaini yangu afya zenu Mungu ameendelea kuzilinda na kwa waleambao hawajisikii vizuri ninaimani kwa uwezo wake atawarehemu.
Salaam maaluma naomba ziwafikie wale...
Baada ya kuzunguka maeneo mbali mbali,Nimeona hapa ndiyo mahali ambapo naweza kukutana na jamii na kujisikia na mimi nipo kwenye hii globe yetu.Hivyo babisha hodi waheshimiwa.
Tafadhalini wana JF,naomba mnikaribishe kwa mikono miwili. Nimekapenda sana haka kaeneo ambako naweza kupigia chafya na kukohoa kidogo. Yote ni katika kusukuma gurudumu letu la maendeleo...
Jamii Forums Great Thinkers!
I salute You!
Nimeamua kujiunga nanyi ili kupunguza idadi ya mazumbukuku na kuongeza idadi ya Thinkers hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. I'm not as stupid as...
Hi to all you guys in JF!, I'm very attracted,impressed by this community. Real i feel more joyful to meet you guys. Would you guys say to me welcome to our community?.