Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodii, mi mgeni jaman :A S 12: tena bado mdogo ndo naanza kujifunza vya humu nikaribisheni mwenzenu:A S embarassed:
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodiii wana jf
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Bwana YESU asifiwe! Naomba mnipokee na kunionyesha chumba, mimi mgeni wenu.
0 Reactions
3 Replies
542 Views
Jamani mi mgeni mnikalibishe
0 Reactions
7 Replies
715 Views
Habare jf.. wacha nngonge hodi ila sio mgeni kiviiiile! company yenu ndo mpango mzima!
0 Reactions
3 Replies
749 Views
hodi wenyewe me mgeni nitakuwa nanyi kwa kipindi kisichojulikana natumai nitapokewa vizuri
0 Reactions
3 Replies
615 Views
Hi!
Aje aje paleeee
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Hi, jamani I am new here. Naomba nikaribishwe hasa ww Kongosho.
0 Reactions
5 Replies
749 Views
Hodi humu wana JF
0 Reactions
5 Replies
740 Views
naanza kwa kutoa salamu kwa wote.Nafurahi sana nami kuwa mwanachama naombeni ushirikiano wenu wote asanteni
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Habari wadau, nimejiunga rasmi, nahitaji kukaribishwa ktk jamii forum.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nami napiga hodi mnikarbishe jaman wazawa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninapenda kuchukua nafasi hii kujiintroduce, nimejiunga na forum hii na ningependa tushirikiane, tubadilishe mawazo tujengane kimaisha. Shukran
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Mm ndo kwnz leo naingia humu kila ki2 naon kngn.Naomben mnifahmsh n jukwaa gn leny mvuto kulik yt?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
hi!
Habari yenu wadau!?
0 Reactions
6 Replies
879 Views
jamiiforum ni familia moja yenye mitazamo chanya kwa nchi yetu.naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
4 Replies
744 Views
WanaJf heshima kwenu, nami naomba kukubalika kama mmoja wenu. Hakika Jf ni forum ambayo ina mchango mkubwa sana hapa Tanzania. Hapa Jf mambo ya msingi sana hujadiliwa. Aluta continue Jf.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
nafurahi kuwakuta!
0 Reactions
8 Replies
953 Views
Hey
Habari waungwana!!!nimekuwa nikipitia hili jukwaa kwa muda mrefu sana..ila sasa nimeona umuhimu wa mm kuwa mwanachama..naomba ushirikiano wenu wapendwa!!!!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nafurahi kujumuika na nyie humu ndani hope tutasaidiana ktk maswala ya ajira na ushauri kwa ujumla.asanten...
0 Reactions
9 Replies
996 Views
Back
Top Bottom