WanaJf heshima kwenu, nami naomba kukubalika kama mmoja wenu. Hakika Jf ni forum ambayo ina mchango mkubwa sana hapa Tanzania. Hapa Jf mambo ya msingi sana hujadiliwa. Aluta continue Jf.
Habari waungwana!!!nimekuwa nikipitia hili jukwaa kwa muda mrefu sana..ila sasa nimeona umuhimu wa mm kuwa mwanachama..naomba ushirikiano wenu wapendwa!!!!!!