nilikuwa nikizikosa mada zenu kwa mda kadhaa sasa. Nimeamua kuachana na mitandao mingne ya kjamii na kuja ktk ksima cha fkra pevu tushirikiane kwa pamoja. Nawapenda nyote wanaJamii Forum
HODIIIIIIIIIII Wanajamvi, nimekuja na ID TOFAUTI ingawa hapa ni mwenyeji kama matatizo na serikali ya CCM.IMENIBIDI kukaa nje ya JAMVI hili kwa ID yangu mpaka pale ntakaporekebishiwa na admn.:amen:
Dear Members in Jamii Forum
I am a new member in this great thinkers site. I am looking forward for your cooperation as we continue to interact and share in this site.
Thanks
Chilangachiba
Nawasalimia wanajukwaa,kwanza nianze kuwapongeza kwa kazi nzuri update za kielimu nna uhukika sio mimi tu nimekuwa nikifurahia newz and update from you great thinkers. To that reasons i take...
:eyebrows:
Ndugu zangu kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia sana mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiingizwa katika uwanja huu wa watu pevu wanaohitaji mabadiliko ya kweli! Sasa kwa kuwa...
Nimekuwa mfuatiliaji wa zaidi ya miaka mitano wa mtandao huu, sikuwahi fikiri kama ipo siku nitaamua kuwa mwanachama kwa sasa nimeamua niwe mwanachama shiriki ili niwe nawaletea nyeti za Masaki...
Hello
Greetings to ALL JF members. After enjoying this site as guest for a couple of months ago and finding it helpful. I am very much excited to officially join this community. Its my...
Nimefurahi sana kuungana na nyie ndugu zangu wanajamvi na hongereni kwa kutoa michango mbalimbali ya mawazo ktk kuijenga nchi yetu Tanzania,pamoja sana!