Jamani nipokeeni nimetoka mbali saaaana - nilikuwa yahoo
masanger, nikahamia FACEBOOK, huko nako amani imetoweka
watoto wameshika nchi, ndio maana nimeibukia huku.
kama kawaida kwa wapenda maendeleo kama mimi hawawezi kuacha kitu kama JF kiwapite, hii inatokana na utendaji kazi wake na hali halisi ya uhuru wa kujieleza ilivyo nchini mwetu hivyo kama mpenda...