WanaJF Wapendwa,
Salaaam!
Nimekuwa nikitembelea 'the Home of Great Thinkers - JF' na kuwasomeni kama mgeni kwa muda sasa.
Hapa JF ugeni ni mbaya kwani unasoma na kuhabarika, pa kucheka...
Haya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu...
Ugeni si kitu chema, Mpoto ndoalosema,
Pema usijapo pema,JF hakika ni pema,
Mimi mwingi wa hekima,nina mengi ya kusema,
Mstakabali ndo jina langu,nipokeeni wenzangu.
hey wana iavi nipo humu kitambo ila sikuwahi kuona hii site ya kujitambulisha naknock on first time hooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooodiiiiiiiiiiiiiii :A S-baby: