Hello JF Members, Let us share and comments on various matters with logical points. Tushirikishane na kutoa maoni yenye msingi kuhusu masuala mbalimbali. Thanks
Hi everybody in the house!
I would like to introduce myself as Tinabo Junior.
I am a new comer (njuka) to the Jamii Forums community.
Its pleasure to be here!
Thank you ALL.
Ndugu wana jf napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa umoja wenu kwa ukombozi mkubwa wa kifikra mlionipatia.Hakika nimejifunza mengi sana kwa takribani kipindi cha miaka 4 nilichokuwa...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa guest viewer nikifaidi busara na uchambuzi wa kina ndani ya jukwaa hili. Nimeona si vema kuendelea kuwa kimya hivyo nimeamua kujiunga rasmi ili nami niweke mchango...