Ni kijana wenu mpya katika forum naomba mnipokee ntawapa ushirikiano pale panapo hitajika na me pia naomba mnipe ushirikiano tuweze kufikia lengo na kwa kumalizia ntafata sheria na miongozo...
Hodi humu ndani, naitwa PRINCE MWABU. Nawapongeza wote wadau wa Jamii Forums, najiuliza kwanini wadau wanavunja sheria na kanuni za jukwaa wakati ziko wazi? Hasa suala la kutumia lugha ya kuudhi...
Mimi Ni mtanzania
38 yrs lady single
Business woman
Nauza bidhaa zote za watoto,diapers aina zote,Huggies ,sleepy,softcare etc kwa Bei nafuu sana
Pia nauza maziwa ya formula kwa watoto aina zote...
Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo,
Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi...
Habari. Karibu kusafiri nami.
Natumai kipindi cha mpito cha ugeni wangu nacho kitapita kama ilivyokuwa kwa wengine hapa ndani.
Natumainia mapokezi mema na miongozo bora toka kwenu wakuu.
Kwa...